Sunday, February 13, 2011



DADA LA NGUVU BI.FATUMA KATANGA KTK MAPOZI YA SHEREHE,JIJINI DAR ES SALAAM MWAKA 2010.



"WANANDOA WA MAFANO WA KUIGWA" MAZA HAUSI AKIMSUKA MTEJA, FAZA HAUSI NAYE AKIMYOA MTOTO KIJIONGEZEA KIPATO NDANI YA FAMILIA YAO.HUKO MWANZA ROAD MJINI TABORA HIVI KARIBUNI.



MWALIMU TAUSI KIYUNGI AMEJAA VITUKO KWELI KWELI. MUONE ETI SASA ANAWAJIBIKA IPASAVYO KUANDAA MSOSI NYUMBANI KWA BABA YAKE,JIJINI DAR ES SALAAM 2010.


HAYA MAPYA TENA. MWALIMU TAUSI KIYUNGI,AKIFANYA MASIHARA HUKU, PICHA YA INAYOONEKANA NYUMA YAK IKIMSUTA. ILIKUWA JIJINI DAR ES SALAAM 2010



MAMA MKUBWA BI.ASHURA KAZI AKIWA NA DADA ZANGU BI.TABU OMAR MABARA(kushoto) NA BI. FATUMA KATANGA, KIJIJINI ILOLANGURU 2010.


DADA YANGU MPENDWA BI FATUMA KATANGA, AKIINGIA NYUMBANI KWAKE BAADA YA KULITUMIKIA TAIFA.


BWANA AMANI NGONYANI, AKITABASAMU BAADA YA KUTOKA MASJID HUKO BUZZA JIJINI DAR ES SALAAM 2010.

Wednesday, February 9, 2011



MZEE KIYUNGI AKIMPAPASA MVI MAMA YAKE MKUBWA BIBI ASHURA KAZI



MAMA MKUBWA BI. ASHURA KAZI ALIYEMUACHIA ZIWA MAREHEMU MAMA YANGU MZAZI AKILONGA NA KA MTANDAO KIJINI ILOLANGURU WILAYA YA UYUI, TABORA.



TICHA TAUSI KIYUNGI KTK MAPOZI YA KUTOKA.



HAWA KIYUNGI HUYU NDIYE BINTI WA MWISHO WA MWISHO WA MZEE KIYUNGI BADO MSOMI.


HAWA NI WAZEE WA MAKAMERA WAKATI WA NEEMA ZA IIP MEDIA(GUARDIAN NA ITV) JIJINI DAR.2002
VIJANA WA ZAMANI TOKA KUSHOTO,MZEE BAKARI ALLI KAWEGO, YUPO 4 WAYS TABORA,MZEE MASHAKA MAPALALA YUPO MWANZA ROAD TABORA NA MZEE KIYUNGI, NIPO MBEYA SASA.

Sunday, February 6, 2011

Mosi Mahanga

Nyerere/Madiba

Baba wa Taifa hayati Mwalimu KJ Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari. Kushoto ni Nelson Mandela (Mzee Madiba)

Bugaloo

Mwalimu Tausi Kiyungi akiwa nyumbani kwao,akiwa katika tabasamu la aina yake siku chache baada ya kuchaguliwa kuwa mwalimu Wilani Mbozi Mkoa wa Mbeya 2010.