Friday, September 30, 2011

MBEYA




Mzee Kiyungi akiwa katika sherehe ya cku ya kuzaliwa Frey Herbert "Mfalme Daud" kwenye viwanja vya ofic ya Bomba fm jijini Mbeya hivi karibuni.

Sunday, August 21, 2011

SIKILIZA BOMBA FM ON LINE


Sikiliza Bomba FM Radio on line kupitia http://bombafmonline.blogspot.com

Monday, May 16, 2011

umri mmoja



Vijana hawa wazamani ambao kwa sasa ni wazee toka kushoto ni Mzee Bakari Kawego,Mzee Mashaka Mapalala Mankupu na Mzee Kiyungi wakiwa katika picha ya pamoja mjini Tabora mwaka 2008.Wazee hawa walizaliwa mwaka mmoja katika miaka 1950's lakini walikutana na kukumbusahna mengi hasa walivyokuwa wakuchezea magri ya mabua, kukoga katika mbwawa kuwinda ndege kuchuma matunda porini. ilikuwa cku ya furaha mno baada ya kukutana tena baada ya kupotena toka mwaka 1968.

Tuesday, May 10, 2011

BOMBA FM Radio Staff


MZEE KIYUNGI AKIWASIKILIZA BAADHI YA STAFF WENZAKE WA BOMBA FM Redio YA JIJINI MBEYA WAKATI WA SHINDANO LA DJ BORA HIVI KARIBUNI.

MZEE KIYUNGI AKIMSHANGILIA IMMA "BOY" WA BOMBA FM Radio,WAKATI ALIPOKUWA AKI"SCRATCH"DJ MACHINE WAKATI WA SHINDANO LA DJ BORA JIJINI MBEYA. KUSHOTO MTANGAZAJI WA REDIO HIYO LIZZY ROMMY.(Picha:Mroki Mroki)

MATONYA


STAILI KALI ZA KUOMBA KATIKA JIJI LA MOROGORO LIKIONGOZWA NA MATONYA.

BOMBA FM Radio Staff


WATANGAZAJI BOMBA FM Redio WAKIWA NA FAMILIA ZAO WAKIMPA SHAVU MWENZAO IMMA "BOY" MWENYE TSHIRT(104)AMBAYE ALIKUWA DJ BORA KATIKA SHINDANO LA MA DJ JIJINI MBEYA 2011.
DIBLO DIBALA

Born: 1954

A virtuosic approach to the guitar has made Diblo Dibala one of the top instrumentalists of modern African music. Dibala's '80s recordings with soukous vocalist Kanda Bongo Man made him an internationally recognized star. While his band, Loketo, featuring vocalist Aurlus Mabele, failed to match the success of his collaboration with Bongo Man, Dibala rebounded with a new group, Matchatcha. A native of Kisangani, Congo (now Zaire), Dibala moved at the age of six to Kinshasa. Beginning to play guitar at the age of 12, he quickly advanced on the instrument. Within three years he was playing well enough to almost beat Zaire's top guitarist, Franco, in a competition. Franco was so impressed by his playing that Dibala was invited to join his group, the T.P.O.K. Band. Dibala remained with the group for only a short period, going on to play with Vox Africa, Orchestra Bella Mambo, and Bella-Bella.

Leaving Zaire in 1979, Dibala temporarily settled in Brussels. Two years later, he continued on to Paris, where he discovered a thriving soukous scene. Hooking up with Kanda Bongo Man, he played a major role in the success of the 1981 album Iyole. Dibala's playing on the album soon made him a much in-demand session player. Although he assembled his own group, Loketo, Dibala's laid-back personality clashed with the band's lead vocalist, Aurlus Mabele.

In the aftermath of Loketo's disbanding, Dibala formed a new group, Matchatcha. Named after "a flower that produces an itch," Matchatcha featured ex-Loketo members Freddy de Majunga on rhythm guitar, Miguel Yamba on bass, and dancers Antoinette Yelessa and Joella Esso. The band was enlarged with the addition of drummer Komba Bello Mafwala and vocalists Fede Lawu and Otis Mbute. Matchatcha have subsequently undergone a series of personnel changes. Majunga and Lawu were replaced in 1992 by French rhythm guitarist J.P. Kinzaki and vocalists Dely Mpeletu and David Mondo. Yamba was replaced, later the same year, by bass player Fellyko, who was subsequently replaced by Djo Mali in 1994, and conga player Serge Bimangou was added. Although continuing to experience personnel changes through the years, Matchatcha under the leadership of Diblo Dibala continued playing their infectious and energetic brand of soukous into the 21st century. Craig Harris, Rovi

KASONGO WA KANEMA
Kassongo started his music career in the DRC at the tender age of ten.

"I spent time listening to albums by the likes of Franco and Tabu Ley." Kasongo Says

Encouraged by his family to follow his heart, his interest in music grew and with time he and several like-minded colleagues came together and formed Super Mazembe. The original band comprised Atia Joe, Lovi Longomba, Bukalos Kayembe Rapok, Songole, Lobe Mapako, Talos, Longwa Didos and Fataki Lokasa who are all dead. The only surving band members are Kasongo and Dodo Dorris, who lives in South Africa.

Kasongo Wakanema is popular for many tunes among them "Kakolele Viva Christmas" or popularly known just as Viva Christmas by Baba Gaston's Orchestra Baba Nationale. Kasongo later Joined Super Mazembe
Kasongo has a new band
The new members are Kasongo (lead singer), Kasongo Jnr (the son of Kasongo, percussionist and singer), Maranata (key boardist), Kashindi ( bass guitar player), Ale Maindu (lead guitarist), Lei Mkonkole (drummist), Longwa Disco (singer), Alpha Nyuki (rhythm and lead guitar).

Kasongo is married to Achieng’ Kasongo. They have been married for 22 years, and have five children.
The Picture you see is of him in Nairobi

MAQUIS DU ZAIRE
Maquis started out in 1966 as Orchestre Super Gabby, a group formed by some young Zairean musicians. In 1972, the band changed its name to Orchestre Maquis du Zaire and moved to Tanzania, where they became quite popular and so decided to stay. Today, with a membership of over 40 musicians, they are still one of the most popular bands in Tanzania. Founding member and bandleader Chinyama Chianza died in 1985, with guitarist Nguza Mbangu (aka Viking) taking over the band. He went solo in 1987, with guitarist Dekula Kahanga (aka Vumbi) taking his place and revitalizing the band with his sharp-edged sound.

Sunday, February 13, 2011



DADA LA NGUVU BI.FATUMA KATANGA KTK MAPOZI YA SHEREHE,JIJINI DAR ES SALAAM MWAKA 2010.



"WANANDOA WA MAFANO WA KUIGWA" MAZA HAUSI AKIMSUKA MTEJA, FAZA HAUSI NAYE AKIMYOA MTOTO KIJIONGEZEA KIPATO NDANI YA FAMILIA YAO.HUKO MWANZA ROAD MJINI TABORA HIVI KARIBUNI.



MWALIMU TAUSI KIYUNGI AMEJAA VITUKO KWELI KWELI. MUONE ETI SASA ANAWAJIBIKA IPASAVYO KUANDAA MSOSI NYUMBANI KWA BABA YAKE,JIJINI DAR ES SALAAM 2010.


HAYA MAPYA TENA. MWALIMU TAUSI KIYUNGI,AKIFANYA MASIHARA HUKU, PICHA YA INAYOONEKANA NYUMA YAK IKIMSUTA. ILIKUWA JIJINI DAR ES SALAAM 2010



MAMA MKUBWA BI.ASHURA KAZI AKIWA NA DADA ZANGU BI.TABU OMAR MABARA(kushoto) NA BI. FATUMA KATANGA, KIJIJINI ILOLANGURU 2010.


DADA YANGU MPENDWA BI FATUMA KATANGA, AKIINGIA NYUMBANI KWAKE BAADA YA KULITUMIKIA TAIFA.


BWANA AMANI NGONYANI, AKITABASAMU BAADA YA KUTOKA MASJID HUKO BUZZA JIJINI DAR ES SALAAM 2010.

Wednesday, February 9, 2011



MZEE KIYUNGI AKIMPAPASA MVI MAMA YAKE MKUBWA BIBI ASHURA KAZI



MAMA MKUBWA BI. ASHURA KAZI ALIYEMUACHIA ZIWA MAREHEMU MAMA YANGU MZAZI AKILONGA NA KA MTANDAO KIJINI ILOLANGURU WILAYA YA UYUI, TABORA.



TICHA TAUSI KIYUNGI KTK MAPOZI YA KUTOKA.



HAWA KIYUNGI HUYU NDIYE BINTI WA MWISHO WA MWISHO WA MZEE KIYUNGI BADO MSOMI.


HAWA NI WAZEE WA MAKAMERA WAKATI WA NEEMA ZA IIP MEDIA(GUARDIAN NA ITV) JIJINI DAR.2002
VIJANA WA ZAMANI TOKA KUSHOTO,MZEE BAKARI ALLI KAWEGO, YUPO 4 WAYS TABORA,MZEE MASHAKA MAPALALA YUPO MWANZA ROAD TABORA NA MZEE KIYUNGI, NIPO MBEYA SASA.

Sunday, February 6, 2011

Mosi Mahanga

Nyerere/Madiba

Baba wa Taifa hayati Mwalimu KJ Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari. Kushoto ni Nelson Mandela (Mzee Madiba)

Bugaloo

Mwalimu Tausi Kiyungi akiwa nyumbani kwao,akiwa katika tabasamu la aina yake siku chache baada ya kuchaguliwa kuwa mwalimu Wilani Mbozi Mkoa wa Mbeya 2010.