Monday, May 16, 2011

umri mmoja



Vijana hawa wazamani ambao kwa sasa ni wazee toka kushoto ni Mzee Bakari Kawego,Mzee Mashaka Mapalala Mankupu na Mzee Kiyungi wakiwa katika picha ya pamoja mjini Tabora mwaka 2008.Wazee hawa walizaliwa mwaka mmoja katika miaka 1950's lakini walikutana na kukumbusahna mengi hasa walivyokuwa wakuchezea magri ya mabua, kukoga katika mbwawa kuwinda ndege kuchuma matunda porini. ilikuwa cku ya furaha mno baada ya kukutana tena baada ya kupotena toka mwaka 1968.

No comments:

Post a Comment